x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chifu aliyemkamata jambazi sugu hajapata azawadi ya Kshs.1 milioni iliyoahidiwa na serikali

03, Sep 2018

Chifu wa zamani aliyewezesha kunaswa kwa  mshukiwa mkuu wa uhalifu  na visa vya mauaji katika eneo  la mlima Elgon Timothy Kiptanui Kitai, maarufu Cheparkach yuko kwenye njia panda kuhusu zawadi ya shilingi  milioni moja iliyoahidiwa na serikali kwa mtu yeyote ambaye angetoa habari ambazo zingewezesha kukamatwa kwa mshukiwa huyo.  Wakaazi walioshuhudia cheparkach  akikamatwa na chifu huyo wa zamani na kisha kuwasilishwa katika kituo cha polisi sasa wanasema kuwa  huenda kuna njama ya baadhi ya maafisa serikalini  kutaka kumnyima chifu huyo zawadi anayostahili kupokea baada ya kuisadia serikali kumnasa mhalifu.

RELATED VIDEOS


Feedback