x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mbunge Faith Gitau amemsuta Waziri wa Fedha Henry Rotich

03, Sep 2018

Kilio cha kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli sasa kiko vinywani mwa  Wabunge wa mirengo yote ya kisiasa. Mwakilishi wa kike wa Kaunti ya Nyandarua  Faith Gitau amemsuta waziri wa fedha henry rotich kwa kuwapuuza wabunge na kuendeleza kutekeleza nyongeza ya ushuru wa ziada kwa bidhaa za mafuta ya petroli. Aidha faith ametoa wito kwa serikali kupandisha misharaha ya wafanyikazi wa umma ili waweze kuyamudu maisha ambayo gharama yake ya juu imembana koo kila mkenya.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback