×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

TEMBEA KENYA: Vinyago katika safari kwenye barabara ya Mombasa Nairobi

1st September, 2018

Je wewe ni mpenzi wa vinyago au michongo? Katika makala ya tembea kenya wiki hii tunakueleza jinsi safari yako kwenye barabara ya Mombasa?Nairobi sio safari iwapo hutapitia katika kituo cha sanaa ya michongo cha engwata kilichoko eneo la miasenyi. Mwanahari sycilia wakesho anaeleza kuhusu kituo ambacho sasa kimekuwa kivutio kwa idadi kubwa ya watalii wanaozuru maeneo ya pwani ya Kenya.

.
RELATED VIDEOS