28th August, 2018
Masomo katika eneo la Kibra ni tata kufuatia ubomozi uliofanywa siku thelathini na saba zilizopita. Huku shule zikifunguliwa leo, idadi ya wanafunzi waliofika shuleni ilikuwa ilikuwa ni ya chini mno, wengine wakielezwa kujitafutia nafasi kwingine.