×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya taifa ya kinadada ya Cameroon ilipata ushindi

28th August, 2018

Timu ya  taifa ya kinadada ya  Cameroon ilipata ushindi wake wa pili katika mashindano ya ubingwa wa voliboli afrika baada ya kushinda tanzania  seti tatu kwa bila za alama 25?16, 25?14 na 25?20 katika mashindano yanayoendelea ugani kasarani.katika mechi nyengine ambayo ilichezwa hii leo,mabingwa watetezi misri waliwashinda rwanda seti 3?1 za alama 25?4,25?16,25?22 nao rwanda wakashinda seti moja pekee na  alama 25?16.

.
RELATED VIDEOS