MATUKIO YA KATIBA: Tume huru zimeafikia majukumu yao
28th August, 2018
Tukiendelea kuangazia miaka minane tangu kupitishwa kwa katiba mpya, tunaangazia tume huru ambazo zilibuniwa baada ya katiba mpya kuidhinishwa. Je tume hizi zimeafikia majukumu yao? Na je wakenya wanajua kuhusu tume hizi?