×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Moses Kajwang kuandika taarifa kuhusiana na madai ya ufisadi

28th August, 2018

Spika wa Seneti Kenneth Lusaka amemtaka Seneta wa Homabay Moses Kajwang kuandika taarifa kuhusiana na madai ya ufisadi katika kamati ya uhasibu iliyokuwa ikichunguza sakata ya shamba la ruaraka. Spika Lusaka aliyasema haya baada ya kikao cha kamati maalum ya nguvu za seneti inayochunguza sakata hiyo.

.
RELATED VIDEOS