×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vijana katika Kaunti ya Lamu wapata ajira

27th August, 2018

Takriban vijana 600 kutoka kaunti za Lamu na Garissa wamelengwa kunufaika na mafunzo ya kiufundi kutoka kwa wafanyibiashara wadogo katika sekta za kibinafsi. Hii ni baada ya wakfu wa aga khan kutoa vifaa vya useremala, ususi na ushoni wa verehani kwa wafanyibiashara wadogo 21 kutoka kaunti ya lamu.

.
RELATED VIDEOS