.
25th August, 2018
Kampuni ya bima ya Jubilee imezindua rasmi hii leo bima ya Mums club katika hoteli moja hapa jijini Nairobi. Bima hiyo imelenga kuwafaidi akina mama waja wazito kwa kuwapa mafunzo ya kutunza mimba hadi wakati wa kujifungua kupitia madaktari wenye tajriba.