.
5th August, 2018
Kesho kutwa jumanne itakuwa ni miaka ishirini tangu kutokea kwa shambulizi la kigaidi katika ubalozi wa Marekani jijini Nairobi, mwaka wa 1998. Tangu kutokea kwa shambulizi hilo waathiriwa wamekuwa wakishinikiza kulipwa fidia ambayo hadi leo wanasema hawajapata