×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msichana wa miaka 13 abakwa kabla ya kuuawa Nakuru

30th July, 2018

Mwili wa msichana wa  umri wa miaka kumi na mitatu ulipatikana katika shamba la mahindi sehemu ya kwa Tom, katika kaunti ya nakuru, ikiarifiwa kwamba alibakwa na kisha kuuawa. Kulingana na majirani, esther muthoni        aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi ya engashura, alitumwa dukani na mamake jana jioni, lakini hakurejea. wakazi wa mtaa huo wamewasuta polisi kwa utepetevu kutokana na ongezek la visa vya utovu wa nidhamu. Wanataka uchunguzi wa haraka kufanywa ili kubaini aliyetenda unyama huo.

.
RELATED VIDEOS