Masaibu ya gavana wa Busia Sospeter Ojaamong' yaongezeka baada ya kushtakiwa upya
24th July, 2018
Masaibu ya gavana wa Busia Sospeter Ojaamong' yaongezeka baada ya kushtakiwa upya yeye pamoja na maafisa wengine watano kuhusiana na ubadhirifu wa shilingi milioni nane.