.
23rd July, 2018
Vikosi vya jeshi la taifa vimeongezewa uwanja wa kufanyia mazoezi huko garissa kama njia moja ya kuhakikisha kuwepo kwa usalama katika eneo hilo. Gavana wa Tana River Dado Godana alijumuika na maafisa wa jeshi kwenye shughjuli ya kuzindua upanuzi huo.