×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waganda 53 wakamatwa Busia bila vibali mzozo wa Kenya, Uganda ukitokota

12th June, 2018

Mzozo unatokota kati ya kenya na nchi jirani ya Uganda baada ya maafisa wa polisi kutoka Uganda kuwakamata maafisa watatu wa polisi wa kenya kutoka kwenye kitengo cha QRT hapo jana. Na sasa, polisi wa Kenya wanaripotiwa kufanya msako uliowakamata wahamiaji wasio halali hamsini na watatu kutoka Uganda sehemu ya Busia. 

.
RELATED VIDEOS