.
9th June, 2018
Chama cha riadha nchini kimeahidi kuwa hakutakuwa na udanganyifu wa miaka katika riadha za mchujo kutafuta kikosi kitakachoiwakilisha kenya kwenye mashindano ya dunia mwezi ujao nchini Finland. Mbio hizo za mchujo zitafanyika uwanjani Kasarani siku ya jumatatu na jumanne wiki ijayo.