.
24th May, 2018
Wizara ya maji nchini imezindua mfumo wa maendeleo ya kasi kwenye kuhakikisha kuwa idadi ya wakenya wanaopata maji masafi inakua kutoka asilimia 60 sasa hadi asilimia 80 kufikia mwaka 2020. Hata hivyo, akizungumza kwenye hafla hiyo, rais Uhuru Kenyatta ametaka maazimio ya aina hii.