19th April, 2018
Maafisa wa ujasusi wanaendelea na uchunguzi kuhusiana na
awa za kulevya zilizopatikana katika uwanja wa ndege
Wa kimataifa wa Jomo Kenyatta hapo jana. Mtu mmoja
ametiwa mbaroni na polisi kuhusiana na dawa hizo
zinazoaminika kuwa aina ya aina ya heroin ambazo
zimesemekana kuwa zenye uzani wa kilo ishirini na
tanohata hivyo kumekuwa na utata kuhusu kiwango
halisi cha dawa hizo huku hadi kufikia sasa ikiwa hakuna
taarifa kamili kuhusiana na dawa hizo. Awali taarifa
ziliashiria kuwa dawa hizo zilikuwa zikipelekwa amsterdam
nchini uholanzi, madai ambayo yamepingwa na usimamizi wa
JKIA pamoja na kuwa mmoja wa wafanyakazi wake walikuwa
wakichunguzwa