Wizi wa kuni umesababisha kijana mmoja kumuua mke wa nduguye
5th April, 2018
Mkuhusu wizi wa kuni umesababisha kijana mmoja kumuua mke wa nduguye kwa kumkata kata kabla ya kutoroka eneo la Shinyalu. Mhusika anadaiwa kuhusika na msururu wa visa vya kihalifu katika eneo hilo.