.
29th March, 2018
Unapotembea miji mbalimbali hasaa barani Africa, ni rahisi kuona wanawake wengi weupe.Baadhi yao wakiwa wale ambao wametumia dawa maalum kubadili rangi zao halisi.Licha ya kuwa baadhi ya wanawake wanatetea urembo huu, wasiwasi umeendelea kuhusu athari za kiafya , kama tobias chanji anavyotuarifu.