×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia ya marehemu Ibrahim Akasha yalalamika kuzuiliwa kwa jamaa wao marekani

29th March, 2018

Familia ya marehemu Ibrahim Akasha aliyehusishwa na ulanguzi wa dawa za kulevya imeelezea wasiwasi kuhusu hali ya wapendwa wao waliohamishwa marekani kujibu mashtaka kuhusu biashara hiyo haramu. Kwenye mahojiano ya kipekee na KTN, mmoja wao aliwatembelea na kuelezea kile anasema ni hali ngumu wanayopitia.

.
RELATED VIDEOS