×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji George Odunga amtoza faini waziri Fred Matiang'i, Joseph Boinnet na Gordon Kihalangwa

29th March, 2018

Jaji wa mahakama kuu George Odunga amemtoza faini waziri wa usalama Fred Matiang'i, Inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet na katibu wa uhamiaji Gordon Kihalangwa kwa kukiuka agizo la mahakama kuhusu wakili anayekumbwa na utata Miguna Miguna. Faini hiyo ya shilingi laki mbili kwa kila mmoja itatolewa kwenye mishahara yao. 

.
RELATED VIDEOS