.
20th March, 2018
Ziara ya naibu wa rais William Ruto huko Pwani imezua hisia mseto.Kwa mara ya kwanza viongozi wa upinzani waliandamana na naibu wa rais kiasi cha kuicheza zeze ya siasa za mwaka 2022.Lakini je viongozi wa Pwani wanafahamu wanachokifanya au kuja pamoja kwa Rais Kenyatta na kinara wa muungano wa NASA kumewapumbaza kiasi cha kukosa kufahamu mwelekeo ni upi?