.
20th March, 2018
Kifaru pekee wa kiume aina ya northern white rhino aliyekuwa amesalia hai duniani, amekufa akiwa na miaka 45, katika hifadhi ya wanyama ya Ol Pejeta. Kifaru huyo kwa jina Sudan ambaye amekuwa akiugua kwa muda sasa hata hivyo amewaacha vifaru wawili pekee wa aina yake .