19th March, 2018
Kila siku mamilioni ya wakenya hutumia mitandao ya kijamii kusoma na kupata taarifa kando na runinga yako uipendayo. Lakini una uhakika gani kuwa taarifa unazozisoma nizaukweli, ni vipi unaweza kutambua habari gushi. Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na taarifa gushi na zakupotosha na changamoto ambayo imewapata wanahabari vyombo vya habari wanasiasa na viongozi tajika nchini.