×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bingwa wa dunia katika mbio za mita elfu 5 Helena Obiri kushiriki katika mbio za madola

15th February, 2018

Bingwa wa dunia katika mbio za mita 5000 Hellen Onsando Obiri amepewa tiketi ya moja kwa moja kushiriki mashindano ya jumuiya ya madola bila ya kupitia njia ya mchujo. Obiri ni miongoni mwa wanariadha mahiri waliotuma ombi kwa shirikisho la riadha nchini kutoshirikishwa katika mchujo utakaoandaliwa wikendi hii uwanjani Kasarani. 

.
RELATED VIDEOS