×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kampuni ya bima ya Jubilee imetoa miwani ya bure kwa wanafunzi walio na matatizo mbalimbali ya kuona

12th February, 2018

Kampuni ya bima ya Jubilee imetoa miwani ya bure kwa wanafunzi walio na matatizo mbalimbali ya kuona. Miwani hiyo imetolewa katika shule ya msingi ya Kilimani, kwenye zoezi ambalo litagharimu shilingi milioni 1.4. Akizungumza wakati wa kutolewa kwa miwani hiyo, afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya bima ya Jubilee Julius Kipng'etich amesema juhudi hizo zinpaniw kutoa hamasisho kwa wanafunzi walio na matatizo ya kuona. 

.
RELATED VIDEOS