×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Edith Nyenze aibuka mshindi kwa uchaguzi wa chama cha Wiper kugombea kiti cha Kitui magharibi

17th January, 2018

Edith Vethi Nyenze ? mjane wa aliyekuwa mbunge wa Kitui magharibi Francis Nyenze ndie atakayepeperusha bendera ya chama cha Wiper kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwezi machi mwaka huu. Vethi alimshinda mpinaani wake wa karibu Maluki Kitili ambaye ni mwanawe mwanasiasa mkongwe Nyiva Mwendwa na mwanahabari mwenzangu Murimi Mwangi alizungumza naye vethi kuhusu azma yake kwenye siasa. 

.
RELATED VIDEOS