26th December, 2017
Wiki mbili tu baada ya matokeo ya mtihani wa kidato cha nne KCSE nchini kutolewa, vuta nikuvute zinashuhudiwa katika sekta ya elimu. Lakini je, tofauti ya elimu ya humu nchini na ya mataifa ya ngámbo ni ipi? Lofty Matambo alipata fursa ya kumhoji mwanamuziki Rawbeena anayesomea nchini Finland