×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Waasi wa ODM wapatiwa siku saba kuondolewa katika orodha ya chama ya ODM, 6/12/16

6th December, 2016

Wabunge saba waasi katika chama cha ODM, gavana, na naibu gavana huenda sasa wana hesabu siku saba tu kisha wapoteze nyadhifa zao na kusukumwa kwenye uchaguzi mdogo wakati wowote kuanzia sasa. Baada ya kupokea  maamuzi ya mwisho kutoka baraza kuu la uongozi la  ODM, msajili wa vyama vya kisiasa Lucy Ndung’u sasa amewaandikia barua viongozi walioadhirika kuwafahamisha kwamba atawaondoa kwenye sajili ya wanchama wa ODM katika muda wa siku saba zijazo, na hivyo basi wapoteze viti vyao vya uongozi.

.
RELATED VIDEOS