.
3rd December, 2016
Eneo la South linajiandaa kwa mikutano ya kisiasa ya kukata na shoka hapo kesho , kaunti za Kericho na Bomet zitakapoandaa mikutano mitatu ya hadhara inayohusisha vyama vitatu vya kisiasa. Huku kinara wa CORD Raila Odinga akiwa mjini Kericho, gavana wa Bomet Isaac Ruto na Naibu Spika wa bunge la kitaifa Joyce Laboso watakuwa wakiendesha mikutano sambamba katika jimbo la Bomet