×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTNLeo: Mashambulizi yanayohusishwa na wizi wa mifugo katika kaunti ya Baringo na Turkana

27th November, 2016

Hali ya wasiwasi inazidi kughubika maeneo ya mpakani kaunti za Baringo na Turkana baada ya mashambulizi yanayohusishwa na wizi wa mifugo. Kufikia sasa takriban ng’ombe 1900 pamoja na mbuzi 700 wameibwa huku watu 14 wakiuawawa wengine wakiuguza majeraha ya risasi.

.
RELATED VIDEOS