×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTNLeo Wikendi: Panya watumiwa huko Tanzania uchunguzi wa vimelea vya ugonjwa wa kifua kikuu (TB)

26th November, 2016

Maabara kubwa ya uchunguzi wa vimelea vya ugonjwa wa kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya imezinduliwa mjini Dar Es Salaam nchini Tanzania ikiwa ni mkakati wa kupambana na ugonjwa wa kifua kikuu unaowapata  watanzania laki moja na sitini kwa mwaka. Hii ni  kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya nchini humo. 

.
RELATED VIDEOS