.
24th November, 2016
Familia moja huko Nakuru inaishi kwa majonzi baada ya kukosa fedha za kugharamia matibabu kufuatia matukio mawili ya ajali. Mama alivunjika mguu uliokuwa na ulemavu siku ambayo waliendesha hafla ya kuchangisha fedha za kugharamia matibabu ya mtoto wao wa kiume aliyevunjika uti wa mgongo. Mary Kilobi anaarifu.