×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Katibu mkuu wa kamati ya COTU apokea utafiti kuhusu kiongozi atakaye ongoza Waluhya

23rd November, 2016

Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli  hii leo amepokea ripoti ya utafiti  uliofanywa kuangazia  kiongozi yupi wa jamii ya Waluhya aliye na umaarufu sana ambaye  atawania urais katika uchaguzi mkuu ujao. Atwoli alichukua jukumu hilo katika azma yake ya kuhakikisha kuwa jamii ya Waluhya imeungana kumtafuta kiongozi mmoja atakayemenyana na viongozi wengine katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho.  Utafiti huo uliongozwa na Dr. Fred Jonyo wa chuo kikuu cha Nairobi.   

.
RELATED VIDEOS