×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Ripoti ya Twaweza inaonyesha idadi kubwa ya Wakenya inaogopea Ugaidi nchini, 17/11/16

17th November, 2016

Idadi kubwa ya Wakenya inahofia zaidi wapiganaji wa Al Shabab wenye mako yao Somalia. Katika utafiti uliofanywa na shirika la Twaweza East Africa kati ya Wakenya kumi, tisa wana hofu kubwa na matukio yanayotekelezwa na kundi la Al Shabab.  Vivyo hivyo idadi kubwa ya Wakenya inataka kambi ya wakimbizi ya Dadaab kuondolewa kabisa halikadhalika wanajeshi wa Kenya walio Somali kurejeshwa nyumbani. 

.
RELATED VIDEOS