.
7th November, 2016
Gavana wa Bomet Isaack Ruto anaendelea kupokea matibabu baada ya kujeruhiwa kwenye vurugu zilzozuka hapo jana kati ya wafuasi wake wa chama cha Mashinani na wale wa cha Jubilee wa naibu spika Joyce Laboso. Seneta wa Baringo Gideon Moi amekasshifu matukio akiwataka wahusika wachukuliwe hatua.