x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Askofu Paul Kariuki apiga marufuku wanasiasa kufanya harambee kanisani katika eneo hilo

05, Nov 2016

Askofu mkuu wa kanisa katoliki dayosisi   ya  Embu Paul Kariuki  amepiga marufuku   wanasiasa  kufanya harambee kanisani katika eneo hilo  hadi  kukamilika kwa uchaguzi  mkuu ujao . Kariuki amewaandikia barua  mapadre wote  katika Dayosisi  yake na kuwataka  wasiwakaribishe  wanasiasa kuwa  wageni  wa harambee zao.  Kariuki amewataka wanasiasa kuendesha shughuli zao za kisiasa  katika mikutano ya siasa na wala sio  makanisani . Askofu  huyo  pia  ametoa onyo  dhidi  ya  viongozi  kanisani  watakaochukua  misimamo ya   kisiasa.   Anasema kuwa  wanasiasa wanatumia kanisa vibaya   kutafuta kura .  

RELATED VIDEOS


Feedback