KTN Leo: Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Nyabururu wagoma , 3/11/16
3rd November, 2016
Huko Kisii, Fred Muturi anatupa habari za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Nyabururu, walioandamana hadi ofisi za tume ya TSC kutokana na kusimamishwa kazi kwa mkuu wa shule hiyo