×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Chama cha Wiper ya chukulia Waasi wa chama hatua, Novemba 2 2016

2nd November, 2016

Chama cha Wiper kimeteua kamati maalum ya watu kumi kuchunguza waasi wa chama ambao ni wabunge wanne pamoja na gavana mmoja walioondoka chamani humo. Wanaonuiwa kuchunguzwa ni pamoja na gavana Alfred Mutua, wabunge John Munuve, Joe Mutambu, Katemi Makenga na Regina Ndambuki. Aidha kamati ya kuwachunguza tano hao itaongozwa na Haron Ndubi.

.
RELATED VIDEOS