×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Mtu ameuawa katika ubalozi wa marekani alipojaribu kumnyang’anya afisa wa polisi bastola

27th October, 2016

Mtu mmoja ameuawa katika ubalozi wa marekani nchini kenya alipojaribu kumnyang’anya afisa wa polisi bastola yake. Maafisa wa polisi walimpiga risasi na walioshudia wanasema kuwa walisikia milio ya risasi. Maafisa wa fbi walifika katika eneo hilo kuchunguza tukio hilo huku baadhi ya watu wakidhania kuwa ni tukio la kigaidi. Geff kirui amekuwa katika eneo hilo.

.
RELATED VIDEOS