.
26th October, 2016
Tafiti za shirika la Action Aid kuhusu ukeketaji zimebaini wengi wa wasichana hawafahamu utamaduni huo una malengo yapi maishani mwao lakini wanajua maisha yao huharibika. Kwenye kaunti ya Pokot magharibi simulizi hizi ni nyingi lakini waathiriwa, wazee na viongozi wa dini wamejitolea kukabiliana na ukeketaji.