24th October, 2016
Mashindano ya voliboli ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23 inaendelea katika uga wa Kasarani. Kenya ilishinda Botswana seti tatu kwa nunge za 25-14, 31-29 na kumaliza shindano la jana kwa ushindi wa seti ya tatu alama 25-20. Katika mchuano wa leo Kenya ilichuana na misri katika mchuano ulioanza midaa ya saa nane.