.
20th October, 2016
Rais Uhuru Kenyatta amewaachilia huru wafungwa wapatao 7,000 waliokuwa wanahudumia vifungu vya makosa madogo madogo na ambao vifungo vyao vilikuwa vinakaribia kufikia kikomo, ili kutoa nafasi zaidi gerezani kwa watuhumiwa wa ufisadi nchini anaotaka wahukumiwe haraka iwezakanvyo.