.
18th October, 2016
Je ni kwa kiasi gani unachofahamu kuangua nazi? katika ziara yake kisiwani zanzibar mwanahabari Francis Mtalaki alikutana na bwana mmoja kwa jina Khamis Makame pande almaarufu Mr Butterfly. Anavyopanda mti wa mnazi ni maajabu na ayatendayo akiwa juu ya mnazi yatakuwacha umeduwaa sawa na kuwa ni kitega uchumu kwani watalii hufurika kila siku.