×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo, Wanahabari wa Standard Group wanyakua taji za CNN za wanahabari bora Afrika, 17/10/2016

17th October, 2016

Wanahabari Asha Mwilu na Rashid Iddi wa kampuni ya Standard Group walifika humu nchini jumapili usiku na kupokelewa kwa bashasha kufuatia ushindi wao wa tuzo za uanahabari bora zaidi bara la Afrika za CNN. Wawili hao waliwapiku washindani wengine na thelethini na nane kwenye hafla iliyofanyika afrika kusini wakijitwalia taji la wanahabari bora kufuatia taarifa yao ya upekuzi kuhusu shughuli za kigaidi katika mpaka wa Kenya na Somalia Terror Crossing. Dominic Omondi wa gazeti la The Standard pia aliibuka mshindi kwenye kitengo cha biashara na uchumi almaarufu The Ecobank Economic and Business Award. Cheboite Kigen  kutoka kampuni ya The Nation Media Group akijitwalia tuzo la mpiga mpicha la Mohammed Amin Photographic 

.
RELATED VIDEOS