×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo, Mzozo waibuka Mandera baada ya viongozi wapya kutajwa na wazee wa eneo, 17/10/2016

17th October, 2016

Gavana wa kaunti ya Mandera kapteni Ali Roba amelaani vikali kitendo cha watu kadhaa kushambuliwa na kujeruhiwa kwenye makabiliano kati ya genge la watu waliokua wakipinga orodha ya majina ya wanasiasa wapya waliotangazwa kwenye mkutano wa wazee wa jamii ya Garre, sehemu ya Takaba, kaunti ya Mandera. waathiriwa 6 walipata majeraha ya kuvunjwa miguu na mikono na kuhamishwa hadi katika hospitali kuu ya mandera kupokea matibabu.

.
RELATED VIDEOS