×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Asha Mwilu na Rashid Idi washinda tuzo la CNN Multichoice

16th October, 2016

Unaweza kutuita gwiji, bingwa ama shujaa, si dhambi. Kisa na maana shirika la Standard Group limeonja ladha ya raha ushindi baada wanahabari Asha Mwilu na mpiga picha Rashid Idi  kutawazwa washindi  kwenye mashindano ya CNN Multichoice  ya mwanahabari bora zaidi mwaka wa 2016. Wawili hao walituzwa kwenye warsha ya kipekee ya gala baada ya wao kuorodheshwa bora zaidi miongoni mwa washindani 38. Asha aliandaa taarifa ya upekuzi kuhusu maisha kaskazini mwa Kenya na athari za ugaidi. 

.
RELATED VIDEOS