×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Mbunge wa Nyando Fred Outa aachiliwa baada ya kuzua vuruma shule ya Ahero Girls, 12/10/16

12th October, 2016

Mbunge wa Nyando Fred Outa ametoa wito kwa jaji mkuu mtarajiwa David Maraga kuahakikisha ameendelea na mabadiliko yaliyoanzishwa na mtangulizi wake Willy Mutunga katika idara ya mahakama. alisema hayo baada ya kukumbana na hali isiyotarajiwa pale alipotiwa rumande usiku kucha na mahakama ya Kisumu. Mbunge huyo amesema tofauti na matarajio yake, alikumbana na maji safi pamoja na vyoo katika rumande hiyo mbali na mapokezi mema kutoka kwa maafisa wa polisi.

.
RELATED VIDEOS