×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Mwakilishi wa wodi ya Kisumu West Paul Okiri, aliyedaiwa kutekwa nyara anataka poli

2nd October, 2016

Mwakilishi wa wodi ya Kisumu West Paul Okiri, aliyedaiwa kutekwa nyara usiku wa juma tano katika kijiji cha Kapuonja sasa anataka polisi kuchunguza kisa. Wakati huo huo ameelezea kusikitika kwake na hatua ya wakazi wa hapo kuharibu mali ya afisa mmoja katika serikali County ya Kisumu. 

.
RELATED VIDEOS