×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Fatuma Sichale ahojiwa na JSC, 27/9/2016

27th September, 2016

Jaji wa mahakama ya rufaa Fatuma Sichale amesisitiza kuwa ana uwezo mkubwa zaidi  wa kumrithi naibu jaji mkuu mstaafu Kalpana Rawal. Alipofika mbele ya tume ya huduma za mahakama JSC kwa mahojiano ya wadhfa huo,  JSC ilimweka kwenye mizani haswa kuhusu mchango wake katika kushughulikia kesi zilizohusu ufisadi alipohudumu katika tume ya kupambana na ufisadi nchini KACC na katika halmashauri ya kitaifa ya kupambana na ufisadi KACA.  wakati huo huo, JSC pia imemhoji jaji wa mahakama ya rufaa Hannah Okwengu ambaye anajaribu kwa mara ya pili kupata wadhfa huo baada ya jaribio la kwanza kutibuka mwaka wa 2011.  Okwengu aliandamwa na maswali kuhusu utendakazi wake haswa anavyohusiana na mawakili.  Okwengu ametajwa kuwa hakimu mkali kiasi cha kuwaogofya mawakili wachanga.

.
RELATED VIDEOS